YANGA YASAJILI MSHAMBULIAJI WA CHIPOLOPOLO NA KAIZER-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

YANGA YASAJILI MSHAMBULIAJI WA CHIPOLOPOLO NA KAIZER-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

MABINGWA wa Tanzania Bara, Yanga SC wamemtambulisha mshambuliaji wa Kimataifa wa Zambia, Lazarous Kambole kuwa mchezaji wake mpya wa kwanza kuelekea msimu ujao.
Kambole mwenye umri wa miaka 28, anatua Jangwani akitokea Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini aliyojiunga nayo mwaka 2019 akitokea ZESCO United ya kwao.
Kambole aliibukia Konkola Mine Police mwaka 2011, kabla ya kuhamia Konkola Blades mwaka 2013 ambako alicheza hadi 2014 alipokwenda ZESCO United - na tangu mwaka 2018 amekuwa akichezea timu ya taifa, Chipolopolo.




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz