Rumors za kuvunjika kwa kundi la Rap tokea nchini Marekani, Migos linalo undwa na wasanii watatu, OffSet, Quavo na TakeOff, zinazidi kukolea siku baada ya siku na hii ilianza mwishoni mwa mwezi Mei, baada ya Rapa Offset kuwaunfollow Quavo na TakeOff kwenye mitandao yake ya kijamii.
June 10, mwaka huu wasanii hao walikuwa kwenye list ya wataokao fanya performance kwenye tamasha la Governors Ball jijini New York, lakini hadi inafika tarehe 08 mwezi huu, taarifa zilizotoka ni kuwa wasanii hao wamefuta uwepo wao kwenye tamasha hilo na hivyo nafasi yao itachukuliwa na Rapa, Lil Wayne
No comments:
Post a Comment