OFISI ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) imetangaza majina 16,676 ya watumishi wapya waliopangiwa vituo vya kazi katika Sekta ya Elimu na Afya nchini.
Orodha hiyo inatokana na waombaji wenye sifa waliokidhi vigezo baada ya Aprili, 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kutoa kibali cha ajira kwa kada za Ualimu na Afya, kwa ajili ya kuajiri walimu 9,800 wa shule za msingi na sekondari na wataalam wa afya 7,612
Bonyeza Link Hizi Zifuatazo Kusoma Majina:
TAMISEMI:Majina ya Walimu Walioajiriwa | List of Newly Employed Teachers 2022
TAMISEMI- Majina Ya Walioajiriwa Kada ya Afya | List of Newly Employed Health Sector 2022
No comments:
Post a Comment