Jana, kupitia ukurasa wa Instagram @mwijaku amepost post picha na kuandika, "Tukubaliane kua Harmonize kaharibu ubigwa wa Yanga.
Sioni kelele wala nderemo, au mganga wa kajala ni wa kweli sio muongo? Au ubigwa ni wa magumashi? Hehehe."
Vipi ni kweli ubingwa wa Yanga umefunikwa na Konde boy?
No comments:
Post a Comment