Mwanamuziki Nandy Afurahishwa na Tukio la Harmonize na Kajala..Afunguka Haya - EDUSPORTSTZ

Latest

Mwanamuziki Nandy Afurahishwa na Tukio la Harmonize na Kajala..Afunguka HayaMwanamuziki @officialnandy ameonyesha kufurahishwa na tukio la #harmonize na #kajala Jana kuvishana pete usiku wa jana.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, amewapongeza wawili hao na kuandika "Aaaaaaw­čą░ love birds! hongereni sana kwa hatua impendezayo Mungu na mkawe na furaha milele."Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz