Kupitia ukurasa wa Instagram ya @efmtanzania wameandika kuwa:
“@oscaroscarjr ni mmoja wachambuzi waandamizi ambao wamekuwa nasi kwenye Sports HQ kwa miaka 7 sasa.
.
Sisi tunamshukuru kwa uchambuzi wa kina, vituko, maoni na yote aliyofanya kwenye kipindi hicho. Tunamtakia kila lenye kheri kwenye majukumu yake mapya.
.
#AsanteMzeeWaKaliua
Kwa taarifa inamaanisha kuwa Mchambuzi huyo wa masuala ya soka nchini anaagwa Rasmi na bado haijajulikana anapoelekea/alipohamia
No comments:
Post a Comment