Akizungumza na waandishi wa Habari Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa wakati akitoa taarifa kuhusu utekelezaji wa shughuli mbalimbali za maendeleo ya Serikali amesema mradi wa ujenzi wa Bwawa la Umeme la Julius Nyerere katika mto Rufiji unatarajiwa kukamilika Juni 2024
“Mradi wa ujenzi wa Bwawa la Umeme la Julius Nyerere katika mto Rufiji umefikia asilimia 62.95 na unatarajiwa kukamilika Juni 2024,” Gerson Msigwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, alipokuwa akitoa taarifa kuhusu utekelezaji wa shughuli mbalimbali za maendeleo ya Serikali katika mkutano na waandishi wa habari.
No comments:
Post a Comment