NAHODHA Lionel Messi akiwa ameshika Kombe la Finalissima akifurahia na wachezaji wenzake baada ya kuwafunga mabingwa wa Ulaya, Italia mabao 3-0 usiku wa Jumatano Uwanja wa Wembley Jijini London, England.
Mabao ya mabingwa hao wa Amerika Kusini yamefungwa na Lautaro Martinez, Angel Di Maria na Paulo Dybala, michuano hiyo ikirejea tena baada ya kufanyika mara ya mwisho mwaka 1993.
No comments:
Post a Comment