Maroboti Kuchezesha Kombe la Dunia-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Maroboti Kuchezesha Kombe la Dunia-Michezoni leo


Shirikisho la Soka Kimataifa (FIFA) lipo kwenye mkakati wa kutambulisha maroboti watakaokuwa waamuzi wa pembeni katika michuano ya Kombe la Dunia itakayofanyika Qatar, Novemba mwaka huu.

Kwa mujibu wa taarifa, FIFA ipo tayari kuanzisha mfumo huo wa maroboti kuchezesha mechi za michuano hiyo badala ya marefa wa pembeni endapo viongozi wengine wataridhishwa kabla ya kuuzindua.

Endapo FIFA itapitisha mfumo huo, itakuwa mara ya kwanza michuano ya Kombe la Dunia kuchezwa na maroboti katika historia ya soka.

The post Maroboti Kuchezesha Kombe la Dunia appeared first on Global Publishers.





Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz