Huenda hit maker wa ngoma ya Beer tamu @marioo_tz amesikia maoni ya mbunge wa jimbo la morogoro kusini mashariki @babutale kuhusu wimbo wake wa 'Mama Amina' na kuamua kuchapisha ujumbe katika ukurasa wake wa instagram unaotafsirika;
"Wimbo wangu unaofuata kutoka kwenye Album yangu utakua wimbo wa taifa kama kawaida yangu๐๐ฅ Niamini mimi"
Ujumbe unaohisiwa huenda ni jibu kwa mbunge huyo aliyehoji juu ya wimbo wa Mama Amina kushindwa kufungiwa na Baraza la Sanaa Tanzania BASATA.
No comments:
Post a Comment