YANGA YAICHAPA FRIENDS RANGERS 8-0 MECHI YA KIRAFIKI -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

YANGA YAICHAPA FRIENDS RANGERS 8-0 MECHI YA KIRAFIKI -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

KLABU ya Yanga leo imeibuka na ushindi wa mabao 8-0 dhidi ya Friends Rangers ya Manzese katika mchezo wa kirafki kambini kwao, viwanja vya Avic Town, Somangira, Kigamboni, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
Mabao ya Yanga leo yamefungwa na Fiston Mayele, Denis Nkane mawili, Heritier Makambo mawili pia na Yusuph Athumani matatu.







Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz