Ni Meneja wa Harmonize, Chopper ambae leo June 5, 2022 amemtambulisha rasmi Kajala kujiunga katika lebo yao Konde Gang kuwa katika kitengo cha Mkurungezi mpya wa lebo hiyo
Reposted from @choppa_tz Allow Me To Welcome In Management Team New C.E.O And Manager @kajalafrida I’m Excited To Work With You Shem
#kondegang4you👽🌍
@harmonize_tz
No comments:
Post a Comment