Dirisha la Usajili kwa Klabu za Ligi Kuu ya NBC, Championship, First League Kufunguliwa Julai 1-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Dirisha la Usajili kwa Klabu za Ligi Kuu ya NBC, Championship, First League Kufunguliwa Julai 1-Michezoni leo

Afisa Habari wa TFF, Clifford Ndimbo.

 

Dirisha la usajili kwa Klabu za Ligi Kuu ya NBC, Championship, First League na Ligi Kuu ya Wanawake ya Serengeti Lite msimu wa 2022/2023 litafunguliwa Julai 1, 2022 na kufungwa Agosti 31, 2022.

 

Katika kipindi hicho Klabu zinatakiwa kukamilisha usajili na uhamisho wa Kimataifa.

Klabu zote zinapaswa kuzingatia muda huo wa usajili, hakutakuwa na muda wa ziada baada ya dirisha kufungwa. Yeyote atakayekutana a changamoto awasiliane na Idara ya Mashindano TFF.

Aidha Dirisha Dogo lenyewe litafunguliwa Desemba 16, 2022 na kufungwa Januari 15, 2023.

KISA YANGA MORRISON AFANYA SHEREHE GHANA | KROSI DONGO

The post Dirisha la Usajili kwa Klabu za Ligi Kuu ya NBC, Championship, First League Kufunguliwa Julai 1 appeared first on Global Publishers.





Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz