MASHABIKI wa Costa Rican waliingia mitaani kushangilia baada ya Los Ticos kukamilisha idadi ya timu 32 za Kombe la Dunia kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya New Zealand 1-0 kwenye intercontinental playoff ya mwisho.
Bao la dakika ya tatu la Joel Campbell na saves nzuri ya kipa Keylor Navas ambaye pia ni Nahodha wa timu ndio kwa pamoja ndio viliwapa tiketi ya tatu mfululizo ya World Cup na sasa wanakwenda kwenye kundi gumu, E ambako watakuwa na Hispania, Japan na Ujerumani
Na Rais wa FIFA, Gianni Infantino amezipongeza timu 32 zilizofuzu World Cup ya Qatar itakayoanza mwei Novemba 21 kwa mabingwa wa Afrika, Senegal kumenyana na Uholanzi.
No comments:
Post a Comment