Kumekucha...Mrembo Kim Kardashian Aripotiwa Kupokea Vitisho vya Bomu na Kifo



KimKardashian ameripotiwa kupokea vitisho vya bomu na kifo. Kwa mujibu wa #Tmz #Kim anadai kuwa maisha yake pamoja na watoto wake yapo hatarini, Hii ni baada ya kupokea barua kadhaa zinazotishia kuondoa uhai wake, ambapo Mwandishi wa barua hizo ametishia kulipua ofisi ya #Kim na bomu 💣.

Mwanasheria wa #Kim "Shawn Holley", amefanya utaratibu wa kupata zuio la mahakama juu ya David Resindez, mtu ambae #Kim anadai hamjui na hawajawai kukutana lakin amepata anuani zake za nyumban na biashara, na amekuwa Akituma barua Zaidi ya 80 za kumtishia yeye pamoja na watoto wake wa nne katika njia tofauti tofauti



0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post