elru87tYGBGEm Harmonize Aonesha Plate Namba Yenye JINA la Kajala Aliyolipia Milioni Tano - EDUSPORTSTZ

Latest

Harmonize Aonesha Plate Namba Yenye JINA la Kajala Aliyolipia Milioni TanoMsanii na Staa wa Muziki wa Bongo Fleva Harmonize kupitia insta stori yake ameposti picha ya Number ya Gari (Plate Number) iliyoandikwa Jina la Aliyekuwa Mpenzi wake Kajala na kuonyesha kuwa ameilipia Tsh Million 5.


Hata hivyo Harmonize ameeleza kuwa kufanya hivyo sio kiki bali ni juhudi za kumrejesha Mpenzi wake.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz