Baba Levo "Nimechoka Kuwa Chawa Bosi Nibadilishie Cheo" - EDUSPORTSTZ

Latest

Baba Levo "Nimechoka Kuwa Chawa Bosi Nibadilishie Cheo"Kutoka kwenye mtandao wa kijamii wa Msanii Baba Levo ameonyesha kuchoshwa na kuwa chawa wa msanii na mmiliki wa rekodi lebo ya Wcb, @diamondplatnumz.

@babalevo ameandika ...✍️
"TAFADHALI BOSS NIMECHOKA KUWA CHAWA...!!
NIBADILISHE CHEO BOSS WANGU👀"
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz