Well Done Inonga...Simba Wanahitaji Roho na Damu Kama Hizi Tano Kwenye Timu - EDUSPORTSTZ

Latest

Well Done Inonga...Simba Wanahitaji Roho na Damu Kama Hizi Tano Kwenye Timu


Unahitaji roho na damu kama hizi tano kwenye timu, unahitaji chui kama hawa watano kwenye timu yako

Mmoja anatuliza mstari wa ulinzi, wawili wanatuliza mstari wa kati, mmoja mwishoni anamwambia Sakho asipake sana rangi upepo

Kisha mmoja kwenye bench anaingia kama game changer

Yes wanae mmoja tayari wamalizie na wanne kwenye dirisha la usajili, unahitaji wakatili wengi kama INONGA

Shaffih Dauda
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz