Diva na Mumewe Wapata Ajali Mbaya ya Gari "Tunaendelea na Matibabu" - EDUSPORTSTZ

Latest

Diva na Mumewe Wapata Ajali Mbaya ya Gari "Tunaendelea na Matibabu"


From Divatheebawse: Asante kwa raia waliotusaidia with alot of love maana i was devastated .. and thanks @iamnellyg5 Ni Mungu tu!. leo tunaendelea na matibabu .... maisha ya Mwanadamu ni mafupi sana nimeona jana. bajaj au Pikipiki wakiendelea achiwa wataendelea sababisha vifo vya wengi sana ...
Siwez ata kulala naona ile bajaj ikipanda juu ya kioo cha gari and the blood ... it was scary Mungu wangu🥲 ila Mungu anatupenda sana Kwa Ule mzinga tumetoka wazima Ni kudra zake mwenyezi Mungu na msaada tumepata kwa mapenzi sana makubwa ya watu .. nimepost kushukuru watu raia wa kawaida kabisa ambae walitu take care na kuhakikisha kila kitu chetu kiko salama na sisi tuko salama hatuna cha kuwalipa kabisa zaid ya shukran za upendo kwenu!.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz