TAIFA STARS YAPANGWA ALGERIA, UGANDA NA NIGER KUFUZU AFCON 2023-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

TAIFA STARS YAPANGWA ALGERIA, UGANDA NA NIGER KUFUZU AFCON 2023-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
TANZANIA imepangwa Kundi F pamoja na Algeria, Uganda na Niger kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika mwakani nchini Ivory Coast.


MAKUNDI YOTE KUFUZU AFCON 2023
Kundi A: Nigeria, Sierra Leone, Guinea-Bissau, Sao Tome e Principe or Mauritius.
Kundi B: Burkina Faso, Cape Verde, Togo, Eswatini.
Kundi C: Cameroon, Kenya, Namibia, Burundi.
Kundi D: Misri, Guinea, Malawi, Ethiopia.
Kundi E: Ghana, Madagascar, Angola, Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR).
Kundi F: Algeria, Uganda, Niger, Tanzania.
Kundi G: Mali, Kongo, Gambia, Sudan Kusini ,
Kundi H: Ivory Coast (wenyeji), Zambia, Comoro, Lesotho.
Kundi I: Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Gabon, Mauritania, Sudan.
Kundi J: Tunisia, Equatorial Guinea, Libya, Botswana.
Kundi K: Morocco, Afrika Kusini, Zimbabwe, Liberia.
Kundi L: Senegal, Benin, Msumbiji, Rwanda.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz