Ndugu zetu Wanaijeria Hawaamini Wanachokiona, Angelique Kidjo Achukua TUZO ya Grammy Mbele ya Wizkid - EDUSPORTSTZ

Latest

Ndugu zetu Wanaijeria Hawaamini Wanachokiona, Angelique Kidjo Achukua TUZO ya Grammy Mbele ya Wizkid


Mwimbaji Angelique Kidjo ameshinda tuzo ya Grammy usiku huu kwenye kipengele cha Best Global music Album kupitia album yake ya #MotherNature.

Kipengele hicho kilikua kinawaniwa na nyota wa muziki barani Afrika @wizkidayo kupitia album yake ya #MadeInLagos pamoja na album za wasanii wengine.

Ndugu zetu wanaijeria hawaamini wanachokiona ,maoni yako ni yapi..?


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz