Harmonize Amtia Moyo Ibraah "Kutokuwepo Jina Lako Kwenye Tuzo za Mziki Kusikutie Unyonge" - EDUSPORTSTZ

Latest

Harmonize Amtia Moyo Ibraah "Kutokuwepo Jina Lako Kwenye Tuzo za Mziki Kusikutie Unyonge"@hamornize_tz amuandikia haya kupitia ukurasa wake wa Instagram msanii wake kutoka @kondegang anayefanya vizuri kwa sasa na wimbo wake wa #Rara @ibraah_tz

"THE KING OF NEW SCHOOL @ibraah_tz Your my Winner πŸ†My Brother CHINGA Kutokuwope Jina Lako Jana Kwenye Tanzania music Awards Isikutie Unyonge Wala Moyo Wa Kufikiria Kukata Tamaa Kufanya Hivyo itanifanya Nione Huna Uhakika Na NDOTO KUBWA UNAZO ZIOTA ...!!!! Au Wenda Unawaza Ndani Ya BOX πŸ“¦ Uwepo Wako Kama Msanii Unaefanya Vizuri Katika Kipindi Hiki Ndio Jambo La Msingi Kikubwa Tunajenga Msingi Wa Faraja Ya Watu Wengi Mnoo ..!!! VIZAZI KWA VIZAZI Hilo ndilo Lakuzingatia Zaidi ...!!! Nina Hakika Kaka Yako Jana Wenda Nili Stahili Tuzo Nyingi Zaidi Kutokana na Nilicho Fanya Mwaka Jana ...!!! Lakini Ninaimani Tuzo Niliyotakiwa Ni Pewe Mimi imeenda Kutengeneza Furaha Kwa Kijana mwenzangu Waki Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ itamtia Moyo Na Kuongeza Jitihada Zaidi Ambazo Zinaweza Kuyaonyesha Mataifa Ya Nje Huuu Muziki wetu wa Tanzania ...!!! YOUR VERRY TALENTED BOY I EVER SEEN Ndiokwanza Zimerudi Ninaimani 2022 Tutaingia RED CARPET Tukiwa tupo Katika VIPENGELE KIBAO @ibraah_tz Love You Bro πŸ™ It's Your Time LET'S GO HUU NI MWANZO TUU WAKUJENGA MSINGI WA FARAJA MOTISHA FURAHA YA SISI VIJANA WA MAMA @samia_suluhu_hassan HONGERENI SANAA ...!!!! #TMA2021🌹
1. DOLEMI GO
2. JIPINDE
3. ADICTION
4. MAPENZI
5. NIMPENDE"

Cc
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz