MAN CITY YASHINDA 3-0, YAREJEA KILELENI -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

MAN CITY YASHINDA 3-0, YAREJEA KILELENI -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

MABINGWA watetezi, Manchester City wameibamiza  Brighton & Hove Albion mabao 3-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Jumatano Uwanja wa Etihad Jijini Manchester.
Mabao ya Man City yamefungwa na Riyad Mahrez dakika ya 53, Phil Foden dakika ya 65 nw Bernardo Silva dakika ya 82.
Kwa ushindi huo, Man City inafikisha pointi 77 na kuendelea kuongoza ligi kwa pointi moja zaidi ya Liverpool baada ya wote kucheza mechi 32 na Brighton inabaki na pointi zake 40 za mechi 33 nafasi ya 10.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz