ARSENAL YAIPIGA CHELSEA 4-2 PALE PALE DARAJAN -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

ARSENAL YAIPIGA CHELSEA 4-2 PALE PALE DARAJAN -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

TIMU ya Arsenal imeibuka na ushindi wa 4-2 dhidi ya wenyeji, Chelsea katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Jumatano Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London.
Mabao ya Arsenal yamefungwa na Eddie Nketiah dakika ya 13 na 57, Emile Smith Rowe dakika ya 27 na Bukayo Saka  dakika ya 90 na ushei kwa penalti, wakati ya Chelsea yamefungwa na Timo Werner dakika ya 17 na Nahodha wake, Cesar Azpilicueta dakika ya 32.
Kwa ushindi huo, Arsenal inafikisha pointi 57 katika mchezo wa 32 na kurejea nafasi ya tano, wakati Chelsea inabaki na pointi zake 62 za mechi 31 nafasi ya tatu.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz