LIVERPOOL YAITANDIKA MAN UNITED 4-0 ANFIELD -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

LIVERPOOL YAITANDIKA MAN UNITED 4-0 ANFIELD -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

WENYEJI, Liverpool wamewatandika mahasimu, Manchester United mabao 4-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Jumanne Uwanja wa Anfield.
Mabao ya Liverpool yamefungwa na Luis Diaz dakika ya tano, Mohamed Salah mawili, dakika ya 22 na 85 na Sadio Mane dakika ya 68.
Liverpool inafikisha pointi 76 katika mchezo wa 32 na kupanda kileleni, ikiizidi pointi mbili Manchester City ambayo ina mechi moja mkononi na leo inacheza na Brighton & Hove Albion, wakati Man United inabaki na pointi zake 54 za mechi 33 sasa nafasi ya sita.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz