Harmonize Adai Kuingizwa Chaka na Zamaradi "Mbona Bango Langu Halifanyi Kazi" - EDUSPORTSTZ

Latest

Harmonize Adai Kuingizwa Chaka na Zamaradi "Mbona Bango Langu Halifanyi Kazi"


Anaandika Msanii @harmonize_tz Kwenye Insta Story Yake........"Umeniingiza Chaka Mbona La Kwangu Halifanyi Kazi @zamaradimketema , Kutana Na Binadamu Wa Kwanza Kuwaelezea Wanano Wapenda Kupitia Billboard"

Walimwengu Msaidieni Njia Nyingine Ya Bango Imeshindikana


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz