Zuchu apokea tsh Mil. 100 na WCB - EDUSPORTSTZ

Latest

Zuchu apokea tsh Mil. 100 na WCB




Msanii wa muziki kutoka lebo ya WCB @officialzuchu ameeleza furaha yake baada ya kupokea muamala wa tsh milioni 100 kutoka lebo ya WCB.

Muimbaji huyo ambaye ameshiriki kwenye EP ya Diamond kupitia wimbo ‘Mtasubiri’, hajaeleza pesa hizo zimetokana na nini.

“JUST A RANDOM THURSDAY AFU DON FUMBWE ANAKUTUMIA KA UJUMBE ZUCHU KUNA PESA YAKO IMEINGIA πŸ€” CALLING MY BANKER IMEINGIA SH NGAPI ANAKWAMBIA 100MILLION πŸ€— only in #WCB Rahaa”

Baada ya ujumbe huo, Rais wa lebo hiyo @diamondplatnumz , aliandika “WCB4LIFE”




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz