Miriam Odemba Ajiweka Kimapenzi Kwa Ibrah wa Konde Gand - EDUSPORTSTZ

Latest

Miriam Odemba Ajiweka Kimapenzi Kwa Ibrah wa Konde GandYa
Anaandika Mwanamitindo Miriam Odemba ........''Asali ya Odemba. (RAFIKI)

RAFIKI NI MTU WA KARIBU KABISA, NI MTU PEKEE AMBAE ANAWEZA KUKUPA MSAADA UNAPOKWAMA, NI MSHAURI WAKO UNAPOHITAJI USHAURI UNAOJENGA, RAFIKI HATANGULIZI PESA MBELE PANAPOHITAJIKA ATENDE JAMBO KWA AJILI YAKO ANATANGULIZA UPENDO NA HURUMA YAKE KWA AJILI YAKO, URAFIKI NI KUSHIBANA, KUJITOA KWA MOYO WOTE BILA KUJALI ULIMWENGU....

UTAKUTAZAMAJE NA PIA RAFIKI NDO MSIRI WAKO.........JE YUPI NI RAFIKI YAKO WA UKWELI?

(MTAG ) HAPA AJE ATAZAME VIDEO YA RAFIKI LINK IPO KWA BIO YANGU☝🏿🙌🏿🤍 INAKUPELEKA MOJA KWA MOJA YOUTUBE.

#Rafiki

Changing the future of Tanzania 🇹🇿 ✨

My ♥ @ibraah_tz I love you!!

Wewe ndio (Rafiki) wangu wa ukweli loves you bebe You are my best friend as well as my lover, and I do not know which side of you I enjoy the most. ..Nakupenda.''


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz