Urusi Yapigwa Chini Kombe la Dunia - EDUSPORTSTZ

Latest

Urusi Yapigwa Chini Kombe la Dunia
Sasa ni rasmi, Shirikisho la mpira wa miguu duniani FIFA imeizuia Urusi kushiriki kombe la dunia mwaka huu huko Qatar hivyo haitaendelea na mechi hata zile za kufuzu.

Urusi ilifanikia kutinga kwenye hatua ya mchujo kufuzu kwa fainali hizo. Timu alizopangwa nazo Urusi katika Kundi lake la kufudhu, ni Jamhuri ya Czech, Poland na Sweden ambazo tayari zimeshatangaza mapema kuwa hazitokuwa tayari kucheza dhidi ya Urusi.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz