Ni Rasmi Sasa Diamond Platnumz Ameachia EP take ya First of All - EDUSPORTSTZ

Latest

Ni Rasmi Sasa Diamond Platnumz Ameachia EP take ya First of All


Rasmi sasa mwanamuziki @diamondplatnumz ameachia Extended Playlist yake ya First Of All #FOA yenye idadi ya nyimbo 10.

Katika orodha hiyo ya nyimbo 10' kuna collaboration 5 ambazo mbili kati ya hizo amefanya na wasanii wake kutoka WcB wasafi #mbossokhan na #zuchu ,huku akitoa shavu kwa mwanamuziki wa nigeria #adekunlegold katika track no 5 , track no 10 akiwashirikisha wakali kutoka saouth africa na track no 1 akimshirikisha #jaywillz


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz