Kwa Mara ya Kwanza Mange Kimambi Alikubali Penzi la Diamond na ZUCHU " My Favorite Couple Nawapenda Mpaka Naumwa" - EDUSPORTSTZ

Latest

Kwa Mara ya Kwanza Mange Kimambi Alikubali Penzi la Diamond na ZUCHU " My Favorite Couple Nawapenda Mpaka Naumwa"
Ameandika Mange Kimambi:

Haki this is my favorite couple in the whole world right now. Hata Ciara na mume wake nyuma…

Toka nimemjua Dai Zuchu ndo mwanamke wa kwanza nimemuona na Dai na nikaikubali couple. I will tell you why? I think for the first time since Wema Sepetu Diamond is actually in love. Kaacha woote wale kaangua hapa? Aisee ni kwamba moyo umemzidi nguvu maana kama ni kiki angeipata kwa Misa au kwa Bi Tuks kiki zaidi ya hii. Hapa kapenda tu!!!

Sijui why watu wanasema hawaendani bwana mi nawapenda mpaka naumwa. Eti Zuchu sio mzuri, nyie Zuchu ni mzuriii, tatizo mnataka na yeye awe na matako yenu ya uturuki. Zuchu is super cute. Alafu mkae mkijua wanaume hawaoi eti sababu tu demu mzuri, mademu wazuri wapo kibaoooo na wamedoda mpaka wanalea wana, msinifanye nikawataja saa hizi🤣🤣. Maishani usililiee uzuri lilia bahati.

That said, ningekuwa mzazi wa Zuchu nisingeruhusu maana she is taking a huge risk with her career, I don’t think it’s a good move. If this doesn’t work out wanarudije kufanya kazi kama zamani? Si ndo na career inaishia hapo? Kumix mapenzi na kazi siku zote huwa ni risk ila Jay na Bey wameweza labda na wao wataweza, ila Jay never signed Bey so I don’t know!
.
.
Haki sikudhani kuna siku ntaja kuipenda couple ya Dai na mtu yoyote yule ila Zuchu kanibadilisha haki…. Isingekuwa nimelogwa na yule mtoto wa kariakooo haki ningekuwa chawa wao jinsi nimeipenda hii couple. Ila sasa mi team KIBA so vichambo vitabaki pale pale.
.
.
Yani wakiangaliana tu mie hoi,yani wana chemistry moja kaliiiiii….

Usisahau kudownload app yetu inapatikana playstore na App Store. Yani App ni ya moto balaaaa.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz