Msafara wa magari ya kijeshi ya Urusi wenye urefu wa kilomita 64 waelekea mjini Kyiv - EDUSPORTSTZ

Latest

Msafara wa magari ya kijeshi ya Urusi wenye urefu wa kilomita 64 waelekea mjini KyivPicha za setlaiti kutoka kwa kampuni ya teknolojia ya Maxar zinasema kwamba ripoti za mapema zinazosema kwamba msafara wa magari ya kijeshi ya Urusi una urefu wa kilomita 27 sio za kweli.

Ukweli ni kwamba msafara huo wa magari ya kijeshi una urefu wa kilomita 64, kulingana na Maxar.

Kampuni hiyo iliongezea kwamba , picha mpya ardhini zilikuwa zinaonesha wanajeshi walio ardhini na helikopta za kutekeleza mashambulizi kusini mwa Belarus, ikiwa ni chini ya maili 20 kutoka mpaka wa Ukraine
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz