Mpaka sasa kampuni zilizofikia 47 zimetangaza kusitisha biashara zao Nchini Russia - EDUSPORTSTZ

Latest

Mpaka sasa kampuni zilizofikia 47 zimetangaza kusitisha biashara zao Nchini Russia


Mpaka sasa kampuni zilizofikia 47 zimetangaza kusitisha biashara zao Nchini Russia na kuungana na Mataifa mbalimbali kupinga vita inayoendelea Nchini Ukraine baada ya Majeshi ya Russia kuanza kushambulia nchi hiyo zaidi ya siku 10 zilizopita.

Miongoni mwa Kampuni hizi ni DHL, Puma, Boeing, VISA, Heineken, Youtube, Fedex, Microsoft, Google, Uniliver, Cocacola, Pepsi, McDonald, Pizza hut, Bp, Maersk, Air BNB, UPS, Toyota, VW na Ford.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz