Irene Uwoya "Sijui Natumia Kiasi Gani Cha Pesa Cha Msingi ni Kuenjoy Maisha" - EDUSPORTSTZ

Latest

Irene Uwoya "Sijui Natumia Kiasi Gani Cha Pesa Cha Msingi ni Kuenjoy Maisha"


Majibu hayo yamezuka baada ya kuulizwa anawezaje kuhudumia watu wengi anaotembea nao kila anakokwenda huku wakiwa wanakaa kwenye hoteli za gharama kubwa.

Akizungumza na Gazeti la IJUMAA, Uwoya anasema kuwa, inategemea, lakini cha msingi ni kuinjoi maisha.

“Mara nyingi huwa siwezi kujua ni kiasi gani cha pesa kwa sababu huwa sipendi kuongelea sana hilo suala kwamba eti natumia kiasi gani, inategemea na bata lenyewe linafanyikia wapi,” anasema Uwoya ambaye anakuambia pesa haitafutwi, bali inategwa.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz