Mashabiki walia na Aliyemroga Mwanamuziki ASLAY Kupotea Katika Game "Alaaniwe Aliyemfunga Mdomo Huyu Kaka" - EDUSPORTSTZ

Latest

Mashabiki walia na Aliyemroga Mwanamuziki ASLAY Kupotea Katika Game "Alaaniwe Aliyemfunga Mdomo Huyu Kaka"
Siku ya  Feb 19 ilikuwa ni kumbukizi ya kuzaliwa kwa mtoto wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, @aslayisihaka ,Mozza. Msanii huyo alitumia ukurasa wake wa Instagram kumtakia kheri ya siku ya kuzaliwa mwanae na mashabiki zake wakiungana nae kumuwish Mozza.


Hasa baadhi ya mashabiki walienda mbali zaidi kuhoji ukimya wa Baba Mozza kwenye game,na mmoja wapo akionekana kuumia na ukimya wa Aslay huku akiomba alaaniwe kama kuna mtu amemfanyia ubaya msanii huyo ili kumpoteza kwenye Muziki.


Kwa muda sasa Aslay amekuwa kimya kwenye muziki huku kwa mwaka mzima wa 2021,aliachia wimbo mmoja tu,unaoitwa Nashangaa. Lakini hivi karibuni ameonekana ni mtu ambaye yupo busy kufanya kazi na uwenda mwaka huu akawabless mashabiki kwa projects nyingi zaidi kama alivyo wazoesha miaka kadhaa nyuma.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz