Huu Hapa Mpunga Aliyotumia Billnass Kufanikisha Kumchumbia Nandy Jana Usiku - EDUSPORTSTZ

Latest

Huu Hapa Mpunga Aliyotumia Billnass Kufanikisha Kumchumbia Nandy Jana UsikuJana Feb 20, wasanii na wachumba wa Muda mrefu, @officialnandy pamoja na @billnass wametengeneza historia mpya kwenye maisha yao baada ya kuvalishana pete huku Billnass akimtolea mahari mrembo huyo wa Bongo Flava.

Mwanzoni ilionekana ni Drama na kuwa wawili hawa hawawezi kuwa serious kwenye mahusiano yao. Na finally wametimiza Lengo, na unaambiwa kiasi cha mahari ni shilingi milioni 10 za kitanzania,na kidole cha Nandy kikivishwa pete yenye thamani ya shilingi milioni 8,jumla ikiwa ni milioni 18.

Kuna Waja bado hawaamini kama Nenga na Nandera ni UTU na UTULIVU?
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz