Burnaboy Apata Ajali Mbaya Katika Gari lake Jipya la Ferrari, Awashtumu Watu Waliokuja Kumrekodi - EDUSPORTSTZ

Latest

Burnaboy Apata Ajali Mbaya Katika Gari lake Jipya la Ferrari, Awashtumu Watu Waliokuja Kumrekodi


Kutoka insta story ya mwanamuziki @burnaboygram amethibitisha kupata ajali usiku wa kuamkia leo akiwa na Gari yake aina ya Ferrari na kuweka wazi kupata majeraha na maumivu kidogo kwenye sehemu ya mguu wake.

Mbali na hilo pia BurnaBoy ameeleza kusikitishwa na watu ambao walianza kumrekodi kupitia simu zao baada ya kumpatia msaada baada ya kupata ajali hio.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz