Wema Amfungukia Aristote Baada ya Kudai Ameishiwa Hana Hata GARI Anatumia Uber "Miaka Miwili Sasa Sina Gari na Mbona Maisha Fresh tu" - EDUSPORTSTZ

Latest

Wema Amfungukia Aristote Baada ya Kudai Ameishiwa Hana Hata GARI Anatumia Uber "Miaka Miwili Sasa Sina Gari na Mbona Maisha Fresh tu"


Ameandika Wema Sepetu Baada ya Aristote Kumsema Kuwa Amefulia Wakati Irene Uwoya Akitembelea Range Rover  Wema Sepetu Anatembelea Uber:

"Wacha nikuweke kabisa kwa page yangu upate kufurahi... maana nimekaa sana mdomoni mwako.... Kutwa huishi kunitaja....

Kurequest nako ni K vile vile maana nakutanaga na mashabiki pia nikiwa kwenye Uber na Bolt... And by the way, miaka miwili sasa sina gari na mbona maisha fresh tu... Mkitembelea nyinyi ma Range inatosha Aristotee... Sio mbaya.... 

Ila ifike muda mnipumzishe basi maana Im nat in a competition na mtu yoyote in my life... Niko na deal na Wema wangu tu... Sijawahi kushindana na mtu... Always stood on my own.... Nashkuru..." Wema Sepetu

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz