Penzi la Quavo na Karrueche Sio Siri...Wanaswa Wakivinjari Pamoja - EDUSPORTSTZ

Latest

Penzi la Quavo na Karrueche Sio Siri...Wanaswa Wakivinjari Pamoja


New Couple Alert....Baada ya kula bata pamoja wakati wa sikukuu za mwaka mpya, Tetesi zinadai rapa Quavo na Karrueche ni wapenzi. Stori za mahusiano yao ziliwahi kutrend mwaka 2017 baada ya Karrueche kutengana na Chris Brown ingawa hawajawahi kuongelea mahusiano yao.

Hivi karibuni Karrueche aliachana na mpenzi wake Victor Cruz baada ya kuwa pamoja kwa miaka mitatu na Quavo aliachana na Saweetie March mwaka jana.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz