Nyimbo za Sikuhizi ni za Ovyo Sana Ila Zinalipa - EDUSPORTSTZ

Latest

Nyimbo za Sikuhizi ni za Ovyo Sana Ila Zinalipa


Zamani kulikuwa na nyimbo fulani zina maadili na zinaelezea story fulani, aisee hizi ngoma zilikuwa kali sana maana zimejaa ubunifu wa kipekee , mbaya zaidi wasanii walikuwa hawaingizi mkwanja wa maana kupitia ngoma hizo.

Nyimbo za sasa zimejaa maneno ya hovyo- Ichomeke, Inama, Panua, Kwa Mpalange, Nina hamu ya Kuto na upuuzi kibao ila wasanii wanapiga pesa kupitia nyimbo hizo.

HIZI NI BAADHI YA NYIMBO ZA ZAMANI AMBAZO ZIMEBASE KWENYE STORY TELLING, IPI UNAIKUBALI ZAIDI?

1. Afande Sele – Mkuki Moyoni 123
2. Alikiba – Mac Muga
3. Bizman – ametoroshwa
4. Bushoke – barua
5. Crazy Gk ft Pauline Zongo – Sister Sister
6. Crazy Gk ft Mariamu – Sauti ya Manka
7. Daz baba – Elimu Dunia
8. Daz Nundaz fml – Maji ya shingo
9. Daz Nundaz fml – barua
10. Dully – Salome
11. Dully ft Sebastian ndege – Leah
12. Feruz ft Prof J – Starehe
13. Feruzi ft Nature, Solothang – bosi
14. Feruzi – Wema wangu
15. Hbc – Chemsha bongo
16. Jebby – Orodha
17. Jebby ft Afande – Swahiba
18. Joselin – mshkaji mmoja
19. Juma Nature – Jinsi kijana
20. Juma Nature – Iddi
21. Jcb ft Dunga - bongfleva
22. Jmo ft Nature – Ni mshamba
23. Jmo ft Dully – Maisha ya boarding
24. Jmo – Majukumu
25 Ksal ft Feruz – Mkiwa
26. Kigwema ft Marlow – Sitomsahau
27. Mac D ft Banana – Jumba bovu
28. Mambo Jambo – HIP HOP Mdundiko
29. ManDojo, Domokaya – Dingi
30. Mangwea ft Tid – a.k.a mimi
31. Marlow - Rita
32. Master bros – hadithi hadithi
33. Master bros – barua kwa mama
34. Moxie – Simba anawinda
35. Mwana fa ft Jaydee – Alikufa kwa ngoma
36. Mzimuni fml ft Q chief – fani katika maisha(Mpiga Debe)
37. OCG - Kazeze
38. Prof J ft Nature – Zali la mentali
39. Prof J ft Q chief – Msinitenge
40. Prof J ft Feruz – Nikusaidieje?
41. Q chief – Si ulinikataa
42. Soggy ft Suma Lee – Nilikaona mwaka jana
43. Soggy ft Mandojo, Domokaya – Ni story
44. Sugu – hayakuwa mapenzi
45. Scout Jentaz ft Feruz – Kijana mteja
46. SGF – Athuman mlevi
47. SGF ft Jb – Kichaa (Jerry)
48. SGF – Mechi kali
49. Uswahilini Matola – Kosa la marehemu
50. Wateule – vile vile




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz