Bongo Star Search Yafika Kokomo Huyu Hapa Mshindi Aliyepatikana - EDUSPORTSTZ

Latest

Bongo Star Search Yafika Kokomo Huyu Hapa Mshindi AliyepatikanaShindano La BSS season 12,limekamilika usiku wa kuamkia leo huko kitita sha shilingi milioni 20 kikidondokea mfukoni mwa mshiriki Brayson Yohana kama mshindi namba moja wa shindano hilo kwa Mwaka 2021/22.

Nini mtazamo wako na nani ulipenda awe mshindi?

Hongera Brayson
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz