Zuchu Amjibu ERIC Omondi "Bongo Flava Haiwezi Kufa Kamwe" - EDUSPORTSTZ

Latest

Zuchu Amjibu ERIC Omondi "Bongo Flava Haiwezi Kufa Kamwe"


Kwenye Post Ya @skytanzania Aliyorepost Kutoka Kwa #OMONDI Kuhusu Muziki Wa Bongo Fleva Kushuka Msanii @officialzuchu Naye Ametia Maoni Yake Kuhusu Hilo La Muziki Kushuka.

Kwenye Uwanja Wa Koment #ZUCHU Ameandika........"Bongo flavor can never die artist are going out of their confort zones it’s called diversity.trying new sounds has never killed any industry the music industry is Big So let artists try out bew things ndo mabadiliko hayo''





Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz