Zitto Kabwe Adai Rais Kaangushiwa Jumba Bovu Kesi ya Mbowe - EDUSPORTSTZ

Latest

Zitto Kabwe Adai Rais Kaangushiwa Jumba Bovu Kesi ya Mbowe


“Mheshimiwa Rais @SuluhuSamia nimeona hasira ulizonazo dhidi ya madudu ya baadhi ya Watu Awamu iliyopita. Kwa heshima na taadhima Hata kesi dhidi ya Mhe @freemanmbowetz umeangushiwa gari bovu. Ni Kesi haina maslahi ya Taifa na inaongeza chuki kwenye Jamii bila sababu. DPP AIFUTE”- @zittokabwe

#Udaku Special Blog

TANGAZA BIASHARA YAKO: TUCHEKI WHATSAPP 0714604974
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz