Mikoa 6 Kupata Mvua Kubwa Kwa Siku Tatu, Wananchi Watahadharishwa - EDUSPORTSTZ

Latest

Mikoa 6 Kupata Mvua Kubwa Kwa Siku Tatu, Wananchi Watahadharishwa
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania imesema Mvua kubwa inatarajiwa kuikumba Mikoa sita katika kipindi cha siku tatu kuanzia leo, Jumamosi mpaka Jumatatu ambayo inaweza ikaleta madhara kwa Wananchi wa maeneo hayo

Mikoa iliyotajwa kuwa na uwezekano mkubwa wa kupata mvua hizo ni Dar es Salaam, Tanga, Pwani (kikiwamo kisiwa cha Mafia), #Zanzibar, Morogoro na Lindi

TMA imewataka wananchi na sekta husika kuchukua tahadhari na kuzingatia utabiri walioutoa.

#Udaku Special Blog
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz