Wakali Wizkid, Burna Boy na Davido Waungana Pamoja Kutoa Burudani X Mass... - EDUSPORTSTZ

Latest

Wakali Wizkid, Burna Boy na Davido Waungana Pamoja Kutoa Burudani X Mass...


Kiwanda cha muziki nchini Nigeria kinazidi kuungana kwa upendo, ushirikiano baina ya wa wasanii unazidi kuongeza nguvu kwenye muziki wao ambao umepiga hatua kubwa.

Usiku wa kuamkia leo wababe wa muziki wa Afrika Wizkid, Davido na Burna Boy walipanda Jukwaa moja na kutumbuiza katika hafla ya kuikaribisha Sikukuu ya krisimasi iliyoandaliwa na Tony Elumelu (Pichani) ambaye ni Mwenyekiti wa (BOA) Bank of Africa.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz