Uzalishaji wa Pombe ya Banana Wasitishwa Kwa Kutokidhi Viwango vya Ubora - EDUSPORTSTZ

Latest

Uzalishaji wa Pombe ya Banana Wasitishwa Kwa Kutokidhi Viwango vya UboraRipoti ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) imeonesha pombe aina ya Banana haifai kwa matumizi ya binadamu kutokana na kuongezewa kiwango kikubwa cha kemikali ya Asetic Acid
-
Serikali imefikia uamuzi ya kusitisha uzalishaji wa pombe hiyo inayotengenezwa na kiwanda cha Tanbasi Investment kilichopo Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro
-
Wilaya ya Rombo imetajwa kuwa na matumizi makubwa ya pombe zisizo rasmi ambazo zinachangia matukio ya kihalifu na migogoro ya ndoa


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz