Mfahamu Muigizaji Kwenye Mvuto Kuliko Lee Min Ho - EDUSPORTSTZ

Latest

Mfahamu Muigizaji Kwenye Mvuto Kuliko Lee Min HoJamaa Anaitwa Joo Won(Kushoto) amezaliwa mwaka 1987, amecheza series Kama Yong pal, Bridal Mask, My sasy girl na nyingine nyingi.

Huyu jamaa ni noma sana, wakorea huwaambii kitu kuhusu huyu jamaa. Wakorea wenyewe wanaamini huyu ndio actor mwenye mvuto zaidi katika kila idara ila wabongo wanaamini Lee Min-ho ndio actor mwenye mvuto. Korea na baadhi ya nchi za kiasia kama Japan, Thailand na Taiwan wanamkubali sana Joo Won kuliko Lee Min-ho.

Lee Min-ho mwenyewe amewahi kutengeneza Kiki kwamba amewahi kudate na mpenzi wa jamaa ili apate Kiki lakini jamaa aliamua kumpuuza.

Wanawake ambao wamewahi kuigiza pamoja na Joo Won wanasema kwamba wanavyoigiza na jamaa hujikuta wanamtamani kwelikweli, hii yote ni jinsi jamaa anavyovutia.

Madirector wengi wa Filamu katika Nchi za Asia wanadiriki kusema kuwa huwa wana uhakika wa movies au series zao kuingiza mapato zaidi kama Joo Won akiwa ndani, hii yote kwasababu jamaa ameliteka soko la movies Pande hizo na sababu kuu ni muonekano wake.

Hawa actors wa kiume wa kikorea wanapendwa sana na dada zetu wa huku bongo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, Sema nini, kuangalia movies za kikorea napo ni kipaji, hizi tuwaachie wanawake.

@hopetygatz
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz