Sindano ya Kujikinga na Virus vya HIV Kuanza Kutumika - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Sindano ya Kujikinga na Virus vya HIV Kuanza Kutumika


Watu ambao wapo kwenye hatari ya kupata HIV wataanza kuchomwa sindano ya kujikinga na virusi hivyo (Prep) hivi karibuni, hatua hiyo inakuja baada ya Marekani kuidhinisha sindano hiyo.

Sindano hiyo ambayo imepewa jina la Apretude ni sindano ya kwanza ambayo Watu wenye uwezekano mkubwa wa kupata HIV wataitumia na itatumiwa na ambao hawana HIV ili kuwakinga wasipate virusi hivyo.

Kabla ya sindano hiyo kuidhinishwa Watu walio hatarini kupata HIV kama Wahudumu wa afya na Waathirika wa dawa za kulevya walikuwa wanameza dawa za vidonge
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz