Mwijaku "Shamsa Ford Hujachelewa Kuwa Kama Hamisa Mobetto, Be Selective Utapata tu Kama Rick Ross" - EDUSPORTSTZ

Latest

Mwijaku "Shamsa Ford Hujachelewa Kuwa Kama Hamisa Mobetto, Be Selective Utapata tu Kama Rick Ross"


Baada ya Muigizaji wa Bongo movie, Shamsa Ford, kujiliza kuhusiana na kile kinachoendelea kati ya Rick Ross na Hamisa Mobetto,mwanadada huyo akilalamika kuwa Hamisa kaleta shida maana wanaume wao wanaonekana hawana thamani hivi sasa, DC wa Insta, @mwijaku_01 ametia neno kwa Shamsa.

Kwanza Mwijaku amedai,inabidi @shamsaford atambue kuwa kila kitu ni mkakati na malengo ya mtu binafsi,kila kitu uanzia kwenye sifuri, aangalie @hamisamobetto amezaa na akina nani? Huwezi sikia Hamisa anatoka na akina Rajabu Ndala ndefu wala Shabani ndevu nyingi😁, Hamisa ni Selective habebi bebi wanaume ili mradi wanaume, hivyo basi Shamsa hasijione mnyonge, hajachelewa bado, ana nafasi ya kupata kama havipatavyo Hamisa, ila tu akiwa na mikakati thabiti.

Haya ameyazungumza kwenye kipindi cha Leo Tena ya Clouds FM

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz