Motra Awaponda Kikosi Kazi "Crew yenu Mnafanana Style Kama Mchele wa Basmart”. - EDUSPORTSTZ

Latest

Motra Awaponda Kikosi Kazi "Crew yenu Mnafanana Style Kama Mchele wa Basmart”.

 


Kutoka Arusha, Motra The Future ameachia wimbo mpya “Weupe” ambao ni diss track kwa Kikosi Kazi ikiwa ni wiki 4 zimepita tangu P Mawenge wa Kikosi Kazi aachie wimbo wa “Nahamia Weusi”.

Katika wimbo huu Motra anasikika akitaja wasanii wa Kikosi Kazi akianza na One Incredible, Songa na Azma Mponda.

“Kwanza Kikosi Kazi hakina kazi za kufanya. Hamjifunzi kwa Wakazi muziki sio tu kuchana”, mwishoni amemaliza na Azma.

“Joh hawezi kushuka eti kwa kupondwa na Azma mtu ambae ana force miaka 10 kutoka kwa lazima 

Crew yenu mnafanana style kama mchele wa basmart”.





Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz